2018 superlady''WANAWAKE WA NGUVU''

2018 superlady''WANAWAKE WA NGUVU''

Habari wanajukwaa''
Ni muda sana sijapost kwenye jukwaa hili lakini naombeni leo,
Mimi pia nipate nafasi ya kuwapongeza wanajamiiforums hawa ambao kiukweli wako juu.
Kuanzia majibu yao mpaka vision zao kwa mujibu wa maandiko yao ninayoyaona humu jukwaani.

Kwanini sio kwa wanaume?

jinsia ya kiume ina mchango mkubwa sana hilo lajulikana wazi tofauti na jinsia ya kike ambao wengi wao wanajadili majungu,mapenzi na vitu visivyo na umuhimu tena kwa point zisizo na maana ila kuna baadhi ni tofauti.

Kwa lugha za kibongofleva naweza kuwaita malkia wa nguvu, ila kiufupi nawapongeza sana kwa mitazamo yao.
Najua wapo wengi wenye mitazamo sahili ya maisha ila ama wameamua kuificha au mimi sijawatambua nanyi hongereni sana popote mlipo.
,kama kuna mwanaume unayehitaji mwanamke wa kuoa ukampata yeyote kati ya hawa ntakaowaorodhesha oa haraka mi ntachangia harusi ila hatakuangusha huyu na ndoa yenu itakuwa na mafanikio makubwa.
Pia kwa wale wenzangu na mimi ambao muda wote tunawaza noti tunazipataje ukimpata mwanamke kama huyo hebu achana na mambo ya kupetipeti!!.. Weka idea mezani hawezi kukuangusha..
Najua wadau wengi wa jukwaa hili hampendi kusoma maneno meeeengi wacha niishie hapa niwashushe wahusika hapa..

King'asti
chinchila coat
Sky Eclat
miss zomboko
Thad
Avriel
Zainab Tamim
Rebeca 83
farkhina
Zurie
ladyfurahia

MKO JUU WATU WANGU.

Mi kwenye orodha yangu wapo hao Najua kuna watu mlitarajia wawepo ila hawawezi kuwepo sababu sifa ya maneno mengi na ucheshi sio Moja kati ya vigezo nilivyotumia.
WEWE PIA TAJA SUPERLADY WAKO KWA MWAKA 2018
List haina Heaven Sent? Ni batili hata wewe mtoa mada unajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu analia na thread yake, demu ya JF kamliza laki tano😀 .....usiangalie kauli za kimaandishi mkuu, wengine wapo kazini
 
Sawa. Tumeona list yako. Pia usisahu kuja na list ya mapato yako kwa mwaka
 
Back
Top Bottom