kalooo son of Kambarage
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 275
- 181
Jiuliz kwanza Mpira wa leoAman kwenu wote
Algeria ndo bingwa wa Afcon apewe kombe lake mapema sana
Maana atampiga nigeria kwenye fainal
Hilo nimekubaliana nalo hapo juu kwa kuitikia na nafahamu.Mkuu Morocco hakucheza fainali 2017 alikuwa Egypt na Cameroon
SahauAlgeria kombe ni lake
[emoji28][emoji28][emoji28]teh teh
nina uchungu sana,,,
siku nyingine mkiwa na odds mtupe,,, ona sasa,usingizi sina,hasira kama zote
Naende kuwashitaki kwa Sir God hamfanyi fair play.............
Nikisema mapema sanaMisri anaondoka robo fainal
Hili kombe halitaenda kwenye nchi ya kiarabu.Aman kwenu wote
Algeria ndo bingwa wa Afcon apewe kombe lake mapema sana
Maana atampiga nigeria kwenye fainal
Mimi pia nilimsikia kwa maskio yangu Amber Rutty akisema hivyo hivyo misri itaangukia puaHata Andrew komba alijua misri haendi popote
[emoji134][emoji134]Imeshindakana,ndo washapita. Watatolewa na Egypt huko robo fainali.
Algeria hawatachukua hili kombe, hata wakirudiana na Senegal tena au Nigeria watatoka tu...!!!Hakuna timu ya kuifunga ALGERIA Africa nzima....amini maneno yangu na weka kumbukumbu ndiye bingwa
kahtaan Adiosamigo kujeni huku nyinyi waarabu weusi msome huu uziTwo down... Morocco, Egypt.
Two to go.... Algeria and Tunisia
Ilikuwa nchi gani?Best loser Euro 2016 alishinda ubingwa.
The desert foxHahahahahahahahah wanajiita THE FOX weka na watoto chini ya hahahahahahahahah
Ki ki jua kiarabu all will loose the winningTwo down... Morocco, Egypt.
Two to go.... Algeria and Tunisia
Algeria ni mshindi wa tatu.Aman kwenu wote
Algeria ndo bingwa wa Afcon apewe kombe lake mapema sana
Maana atampiga nigeria kwenye fainal
tehteh[emoji28][emoji28][emoji28]
Dent nn wewe !!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]