Mwaka 1974 Zaire chini ya Mobutu ilipata kushiriki kombe la dunia kwa mara ya kwanza huko Ujerumani. Mobutu alagiza waganga na wachawi wakubwa waende kuganga Ujerumani. Hatimae mechi kati ya Zaire na Yugoslavia. Zaire alikufa goal 9 bilaa....Mechi haijaisha
Wazee wa sangoma hawa
Siwakubali kwa mpira ila ndumba zao
Senegal hatakubali kurudia makosa.Algeria bingwa
Kalale mkuuGoooooooooooooooooooooolllllllaaaaaaaa amekosaaa bado moja bila.
Kwa haya mashindano timu kutoka afrika kaskazini wanaonewa tu, hakuna mechi watakayocheza na sisi magiza refa akawa mweupe lazima refa awe mweusi, nusu fainali ya kwanza refa kakataa penati kwa var kisa yeye mweusi na penati inawaathiri weusi, nusu fainali ya pili refa kakubali penati kisa yeye mweusi na penati inawabeba weusiHuyu referee Mkali upuuzi wa kupiga rafu mshenzi anashughulikia
At least anaonesha uwezo namaamuzi
Kwa haya mashindano timu kutoka afrika kaskazini wanaonewa tu, hakuna mechi watakayocheza na sisi magiza refa akawa mweupe lazima refa awe mweusi, nusu fainali ya kwanza refa kakataa penati kwa var kisa yeye mweusi na penati inawaathiri weusi, nusu fainali ya pili refa kakubali penati kisa yeye mweusi na penati inawabeba weusi
Ubao unasomekaje huko mkuu.Nigeria anashinda
Trust me [emoji41][emoji16]
Ubao unasomekaje huko mkuu.
Nishatoka kibandani...
Subiri sasa abebe mwarabu uone ngozi nyeusi tunavyolalamika, ndio maana Tanzania tukisogeza pua zetu hawatuachi salama🤣🤣🤣🤣🤣
Poleni mkuu
BP ya huu mkeka inafulctuate hatari, ngoja tuone kama utasurvive maana unakaribia kwenye threshold point
Algeria kashinda mkuuUbao unasomekaje huko mkuu.
Nishatoka kibandani...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kubabake kituuuuuu