Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia tena baba swalehe 😀
2-1, freekick ya akiri ile from maharez
Algeria Bingwa kwa kweli. Hiyo Ijumaa watajihakikishia tu ubingwa wao. Sioni Senegal ya kumfunga Algeria. Group C oyeee. Maana finalist wote wanatoka group C ambako Tanzania ilikuwemo.
Kwa mpira upi? Kwanza group stage tu Algeria walimfunga Senegal. Final wanakwenda timiza ratiba tu. Sijaona Senegal ya kumfunga Algeria.Thubutu ubingwa anabeba wapi?
Senegal anabeba ndoo
Hadi hapa napenda kuchukua fursa ya kujipongeza mwenyewe kwa mkeka huu ulivyotiki barabara.
Mkeka wa lala salama utakuwa namna hii.
1. Bingwa AFCON 2019 - Algeria (Timu iliyofungwa magoli 2 hadi sasa ndani ya dk 90)
2. Mshindi wa Pili - Senegal
3. Mshindi wa Tatu - Nigeria
4. Mshindi wa Nne - Tunisia.
View attachment 1153845
Kwa haya mashindano timu kutoka afrika kaskazini wanaonewa tu, hakuna mechi watakayocheza na sisi magiza refa akawa mweupe lazima refa awe mweusi, nusu fainali ya kwanza refa kakataa penati kwa var kisa yeye mweusi na penati inawaathiri weusi, nusu fainali ya pili refa kakubali penati kisa yeye mweusi na penati inawabeba weusi
Kwa mpira upi? Kwanza group stage tu Algeria walimfunga Senegal. Final wanakwenda timiza ratiba tu. Sijaona Senegal ya kumfunga Algeria.
Umeongea point kiongozi, sijaona refa mweupe ata mmoja, wote weusi. Penati nyingi tu wamenyimwa waarabu. Hii ni dhuluma kabisa wamefanyiwa.
Group C ndani ya Finale nilisema hili mapema. Aljeria anachukua ndo
Ijumaa kitajulikana. Tusiandikie mate na wino ipo.Si yule referee alikataa goli napenati akaifumbia macho
This time referee hawezi fanya double mistake
Nasisitiza, Algeria anachukua kombe, jifanye unajikuna kama unabisha
Ha ha haTeam mbili kwenye group letu zimeingia final
Pongezi ziende kwa awamu ya tano kuwezesha hili !
nigeria ana shinda njaa
Hukunielewa mkuu wangu
Tafadhali sana
Algeria Bingwa kwa kweli. Hiyo Ijumaa watajihakikishia tu ubingwa wao. Sioni Senegal ya kumfunga Algeria. Group C oyeee. Maana finalist wote wanatoka group C ambako Tanzania ilikuwemo.