2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hahaha Sadio mané na crew yake wazee wa possession football, watawachezea Algeria sana ila kitawakuta kilichowakuta
 
Kweli tulistahili kutoka mapema,maana tuliokuwa kundi moja; Senegal na Algeria ndo wanacheza fainali ina maana ndo timu bora zaidi Afrika kwa sasa!,Pole yake Emmanuel Amunike kwa kuonewa,(uwezo wetu haukutosha mboga kushindana nao).
 
Back
Top Bottom