Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Algeria wanashinda Afcon yao ya pili. Mahrez anashinda kombe la 5 msimu huu. Niwashukuru nyoote mliokuwa mkichangia huu uzi japo si wangu. Mpaka 2021.
Bye bye
Bye bye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi hapa sina la ziada, my carpet survived tale to tale.Hadi hapa napenda kuchukua fursa ya kujipongeza mwenyewe kwa mkeka huu ulivyotiki barabara.
Mkeka wa lala salama utakuwa namna hii.
1. Bingwa AFCON 2019 - Algeria (Timu iliyofungwa magoli 2 hadi sasa ndani ya dk 90)
2. Mshindi wa Pili - Senegal
3. Mshindi wa Tatu - Nigeria
4. Mshindi wa Nne - Tunisia.
View attachment 1153845
Yaani natamani niingie youtube kuangalia France vs Croatia.Walau nisafishe macho yangu.Mpira wakihuni hatatunufaisha world cup
For now with these faken references hongereni kwa ushindi.
Ushindi ni ushindi bila kujali umepatikana VIP 😬😬😬😬😬😬
Yaani natamani niingie youtube kuangalia France vs Croatia.Walau nisafishe macho yangu.
KUMBE WEWE NI MSENEGALDah.. Inauma kiukweli, ila Senegal didn't push enough, yan wakifika golini it's like hamna strategy, kila mshambuliaji anafanya lake. Tungewapiga Algeria hata 2-1
Senegal ina mashabiki wengi sana hapa bandani, ivi Algeria ndio haipendwi au Uarabu ndio kikwazo..
Da unamambo weye 🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Hadi hapa sina la ziada, my carpet survived tale to tale.
Hongereni Algeria kwa kuweka rekodi hii.
Halafu walivyokuwa wapumbavu wanaenda kufanyia sherehe France baada ya AlgeriaNdoo sasa ishaenda Jangwani mkuu