2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hadi hapa sina la ziada, my carpet survived tale to tale.

Hongereni Algeria kwa kuweka rekodi hii.
 
Leo tarehe 19 July 2019 tumeshuhudia final mbovu kabisa pale Egypt, Goli la mapema kabisa linawanyimba Senegal ubingwa pamoja na kufanya juhud kubwa kusawazisha, inauma sana
 
Timu bora katika mchezo wa leo imefungwa


Pole kwa wazee wa majamvi maana kila kona mnasonya sonya tu
 
Hadi hapa sina la ziada, my carpet survived tale to tale.

Hongereni Algeria kwa kuweka rekodi hii.

Hongera sana Sheikh Mwifwa, βœ…πŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hongereni sana AljazaairπŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡©πŸ‡ΏπŸ‡©πŸ‡ΏπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ mpaka hapa mlipofikia mnastahili pongezi kubwa maana mmepigana kwakweli.


Tunawaombea kila la kheri Algeria hukoo world cup tuko nyuma yenu wababe πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ, pia hongereni senegal kuwa mshindi wa pili, pia Nigeria mshindi wa tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…