the worst final in the history of gameLeo tarehe 19 July 2019 tumeshuhudia final mbovu kabisa pale Egypt, Goli la mapema kabisa linawanyimba Senegal ubingwa pamoja na kufanya juhud kubwa kusawazisha, inauma sana
Kesho nikale Kebab kucherekea ushindi. 1,2,3 Viva l'Algérie.
Oi nani kabeba kombe mazee
Dah.. Inauma kiukweli, ila Senegal didn't push enough, yan wakifika golini it's like hamna strategy, kila mshambuliaji anafanya lake. Tungewapiga Algeria hata 2-1
Hongera chief kwa kazi nzuriAlgeria.
Mimi mkeka wangu huwa unapoint msindi tu kwa namna yoyote ile, huwa silimit magoli
Nimebet for fun kuanzia 16 bora ambapo nilishinda karibia nusu.Ni kweli inauma hasa pale mkeka wako unapochanika.
NB:sijawahi kubeti.
Tushahitimisha mkuu, tukutane viunga vya Younde mnamo 2021Mwifa
Ndio mapumzikoni mkuu kama sisi huku watu wanavyopenda kwenda DubaiHalafu walivyokuwa wapumbavu wanaenda kufanyia sherehe France baada ya Algeria
Bet tena nani atawahi kufika kileleni[emoji23][emoji23]Hongera chief kwa kazi nzuri
Mi nlbet na mke wangu nani anwahi kusinzia leo
Huyo streka anaitwa sarr amezingua sana.anapiga hovyo ndani ya 18 km cio pro bana.Nimejitahidi kufuatilia hii michuano tangu awali mpaka tamati, nimegundua machache yafuatayo kuhusu soka letu la afrika.
1. Tuna tatizo kubwa sana la clinical finishing, wachezaji wanatoka na mpira nyuma vizuri tu wakifika golini maamuzi sahihi yanakosekana na ndio maana tunaona attempts nyingi magoli machache, na hili ni tatizo la muda mrefu sana.
2.Wachezaji wetu wa kiafrika hawajajua jinsi ya kutumia ipasavyo mipira ya adhabu na kona hasa kwenye mechi muhimu hili kuiokoa timu na ikitokea basi ni mara chache sana.
3.Wachezaji wetu wanaofanya vizuri ulaya wakija huku wanaonekana wakawaida ni kwasababu huko ulaya wanacheza kwenye mifumo mizuri yenye wachezaji wazuri wengi na pia wanalipwa vizuri kulinganisha na huku.
4.Waafrika wa kaskazini wanajua sana kucheza mpira wa kimatokeo dhidi ya waafrika wenzao pale inapobidi.
5.Vipaji tulivyonavyo siku hizi ni vya kawaida sana kulinganisha na miaka ya nyuma, yaani hakuna maajabu yoyote mtu akishika mpira unajua kabisa ataufanyaje na ndio maana hata viwanja havina mashabiki.
6.Bado tutaendelea kuwa washika mkia kwenye world cup pamoja na kutumia idadi kubwa ya wachezaji wanaocheza ligi zenye ushindani ulaya. Maana wakija kwenye timu zao za afrika wanacheza kiafrika zaidi.
7.Taifa stars ndio timu iliyocheza mpira mbovu kupindukia kuliko timu zingine zote kwenye hii michuano.
8.Waamuzi wetu wa kiafrika ni waamuzi wa ovyo kupindukia na sioni referee yoyote kutoka afrika akichezesha mechi kubwa kama fainali ya world cup hivi karibuni.
******Hongera sana kwa Algeria tangu mwanzo mlionekana mna stahili ubingwa huu******
tukutane Cameroon 2021 february
Mghhhhh!Bet tena nani atawahi kufika kileleni[emoji23][emoji23]
Kule Algeria ndo kwao pa kupatia euros.Ni maajabu mitaa ya Ufaransa imelipuka kwa shangwe ya ushindi wa aljeria.
Tupe mahesabu sasa. Umeingiza ngapi kwa betting?Tushahitimisha mkuu, tukutane viunga vya Younde mnamo 2021
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mghhhhh!
Ili mnitoze kodi ee...[emoji23][emoji23][emoji23]Tupe mahesabu sasa. Umeingiza ngapi kwa betting?
Hahahah hapana mkuuBet tena nani atawahi kufika kileleni[emoji23][emoji23]