2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Jamaa wanacheza vzur wamefungwa hilo moja kwa bahati kosa tu moja la beki ila wako vzur na wananidhamu
 
Kabisa yaani. Imagine leo Onyago alivyokuwa anaokoa. Anadaka yale mashoot. Leo atalala hoi ndo umlipe dola 75?.Nawaonea huruma taifa stars. Ile michango lazima ikatwe ipelekwe kwenye standard gauge.
Dola 75 kwa siku ni kama kujitolea tu...
Vijana wacheze kulingana na wanacholipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…