Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Sawa tunaweza fungwa ila ficha upumbav wako...japo kwa huu mwezi
Kama kuichukia timu yako ni upumbavu basi na wewe ficha upumbavu wako wa kuniona mimi ni mpumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tunaweza fungwa ila ficha upumbav wako...japo kwa huu mwezi
Kwanini sasa wawadanganye? Ile ni kazi kama kazi nyingine, unapoleta uongo usio kichwa wala miguu una wademoralize wachezaji hata wakiamua kukaa kimya.
Upo mkuu,zamu yetu keshoBado najiuliza Uganda tuliwafungaje hapa nyumbani?
Nagundua kumbe ujirani mwema unasaidia sana.
Well done the cranes, mmestahili kushinda!
Uko vizuri mkuuWaheshimiwa tusogee kwa TV kuna derby Uganda na DR Cong😵kwi na Juuko ndani ya starting 11.Natabiri Uganda 2 Congo DR 0
Mkuu nimepishana na pesa hapaWaheshimiwa tusogee kwa TV kuna derby Uganda na DR Cong😵kwi na Juuko ndani ya starting 11.Natabiri Uganda 2 Congo DR 0
Nakuunga mkono kwa aslimia Mia moja mkuu na mimi nitakuwa hivyo hivyoMimi SITAISHABIKIA TAIFA STARS, napenda na natamani ISIPATE HATA POINT MOJA
Haina haja ya kujitangazatangaza kipuuzi hivyo...umeshasema huishabikii sawa tumekuelewa...sasa unapoanza kusema unaichukia ilikufanyeje kwan..au ilikuchukulia mkeo..wacha kiherehere..Kama kuichukia timu yako ni upumbavu basi na wewe ficha upumbavu wako wa kuniona mimi ni mpumbavu
Bado 0-0Ngapi huko kwa Burundi? Kuna matumaini kama kwa Waganda?
Haina haja ya kujitangazatangaza kipuuzi hivyo...umeshasema huishabikii sawa tumekuelewa...sasa unapoanza kusema unaichukia ilikufanyeje kwan..au ilikuchukulia mkeo..wacha kiherehere..
😁😁😁😁Kwani mwenyekiti wa Stars ishinde bwana Daud Albert anasemaje?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aliekutuma uniquote ni nani?? Ungepita kimya kimya kama imekuuma sana
Kabsa yani wako vzr sanaNaona Uganda akiingia 16 bora