2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Naungana na wewe, uwezo hatuna. Na kesho tunachakazwa chipigo chikali munoo
IMG-20190622-WA0031.jpeg
 
Hilo halina ubishi..

Ila tuwashabikie na kuwatakia kheri Taifa Stars.. watakuwa wamefanya mazoezi kupita nchi zote barani. Hivi ni wapi waliweka kambi kabla ya kwenda Egypt?

Kama nawaona wapo na uchu wa kushinda tu na kutuletea mchezo wa kusifiwa barani Africa ndani ya miaka 39..
 
Kwanini sasa wawadanganye? Ile ni kazi kama kazi nyingine, unapoleta uongo usio kichwa wala miguu una wademoralize wachezaji hata wakiamua kukaa kimya.
Hawa wachezaji hawana uzalendo kama wanapokuwa wanajinadi...na kwa mashikizo haya wakifungwa watabaki kusingizia....posho
 
Uganda wamecheza Mpira mzuri na Wa nidhamu ya hali ya juu, kiujumla wanastahili pongezi.
 
Huyu Miya ni balaa kabisa.Anachezea team gani ya kulipwa.Kaddu nae lille goal la kichwa ni hatari.Uganda wanaupiga mwingi jamani.Half time sasa Majirani tunaoshare nao lake Nyanza wanaongoza kwa bao moja.
Miya anacheza Gorica huko Croatia
Kaddu anacheza KCCA Uganda
 
For sure, walituachia nadhani ni ule ukaribu na urafiki bila hivyo cdhani kama tungetia mguu misri.
 
Kitaeleweka.muda si mrefu, ukibebwa basi na wewe bebeka usibweteke.
 
Back
Top Bottom