Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Si kweli, hakuna formula hiyo, you have a fairly low self esteem, kama sio draw tunashinda leo.watapigwa wachakae.....
siyo kwamba natania.... senegal 6-0 taifa staccmrs.Si kweli, hakuna formula hiyo, you have a fairly low self esteem, kama sio draw tunashinda leo.
Hicho kikosi chako ni batili, A morris atakosekana leo kutokana na majeraha.
Kumbe magoli 9 basi ndoto hii inaweza ikawa kweli,na tukichukua ubingwa Samatta atakua mchezaji Bora wa AfricaHayo Magoli 8 Samatta kayatoa wapi maana jumla ya magoli yote Hadi final ni 6[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ha haha ha,Kumbe magoli 9 basi ndoto hii inaweza ikawa kweli,na tukichukua ubingwa Samatta atakua mchezaji Bora wa Africa