2019 Africa Cup of Nations Special Thread

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nawakumbusha tuvumiliane
 

Bro, your sarcasm in this post is very sophisticated, lol.
 
Kila la heri Taifa stars,nyumban kwanza[emoji120]
 
Ogopa sana wachezaji wanataka mshahara wao mapema kwani aanajua hiyo zawadi ya mwisho huenda hata wasiinuse
 
Sioni taifa stars wakirudi na point japo moja mkononi
 
Kocha wa Burundi no mzawa, ligi yet Ina makocha karibia watano toka Burundi Sasa hivi marefa Bora wanataka Burundi wale hawajafika pale kwa bahati mbaya tujiulize sisi tumetoa makocha wangapi kufundisha nje ya nchi na kwann hatuna refa afcon
 
Bills kuwepo kwa erasto nyoni na pengine mdathir yahaya pale kati hakuna kitu hapo unamuachaje nyoni pale nyuma ?
 
Wakuu katika mechi zote tatu tutakazocheza katika hatua ya makundi ya michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayofanyika pale Misri nasikitika kuwataarifu kuwa Taifa Stars haitopata goli hata moja.

Ila tutavuna magoli kibao ya kufungwa hilo halina shaka kabisa, mimi nikiwa Mzalendo wa nchi hii nitakuwa nashabikia timu zote zitakazokuwa zinacheza dhidi ya Taifa Stars.

Kupanga ni kuchagua, tusilazimishane timu ya kushangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…