Yaani umeacha kuongea uhalisia umeongelea kimahaba. Yaani umesema Algeria anamfunga Senegal goal 3-0 halafu hao hao Algeria wanamtandika Senegal ambao Tanzania wamechezea kichapo cha goal mbili halafu eti Tanzania itoke nao sare. Ndoto yako inachekesha sanaNajua wengi mmekata tamaa baada ya kupokea kichapo mujarabu kutoka kwa Senegal, Ila Huwezi amini hii timu itavuka hatua hii ya makundi.
Raundi inayofata Itakuwa Kama ifuatavyo:
Tanzania itashinda 2-0 mechi ya kenya na kuwa na point 3 .
Algeria atamfunga senegal 3-0 na kufikisha point 6
Msimamo utakuwa
1. Algeria 6
2. Senegal 3
3.Tanzania 3
4. Kenya 0
Raundi ya mwisho
Tanzania atadraw bila kufungana na Algera na kufikisha point 4
Kenya atadraw 1-1 na Senegal na kufikisha point 1
Msimamo wa mwisho utakuwa
1.Algeria point 7 goli difference 5
2. Tanzania point 4 goli difference 0
3. Senegal point 4 goli difference -1
4. Kenya point 1 goli difference-4
Hivyo Tanzania itaipita senegal kwa tofauti ya ma goli ya kufunga na kufungwa.
Najua wengi mtabeza lakini mwisho wa siku mtanitafuta ili niwatabirieni mambo yenu yajayo
kwako mwl kashasha[emoji23]Naijeria Hakuna timu pale
hapo kwa angola nimepata kigugumizi cha mikono adi kuiandika[emoji16]Angola, Algeria,Ivory coast,Senegal ndio zitatinga nusu.
hapo kwa angola nimepata kigugumizi cha mikono adi kuiandika[emoji16]
imetulia lakini[emoji115][emoji115]Hiyo ni prediction yangu tu mkuu.
Angola wana mpira mtamu sana, Ivory Coast nao si haba..Angola, Algeria,Ivory coast,Senegal ndio zitatinga nusu.
sawa kiongozi..tusubiriAngola wana mpira mtamu sana, Ivory Coast nao si haba..
Tusubiri tuone wataishia wapi
yupo vizuri ila sidhani kama atatoboaGhana umeshamuona?
..kikosi cha Ghana hakijabadilika kivile wachezaji wale wale akina gyan ayew na wenzake sijui lakini lolote bana linawezekanayupo vizuri ila sidhani kama atatoboa
Angola wana mpira mtamu sana, Ivory Coast nao si haba..
Tusubiri tuone wataishia wapi
Angola jana wamecheza vizuri japo, wanajituma sana, pasi na mashuti ni ya uhakika.Mtu anatanguliwa goli na timu kama tunisia then wanatulia wanasawazisha. Binafsi nawapa nafasi watafika mbali. Timu nyingine Mali. Nitawacheki game ijayo
Angola jana wamecheza vizuri japo, wanajituma sana, pasi na mashuti ni ya uhakika.
Mali alishinda jana?
Amekuwa kinara wa magoli hadi sasa...Mali alipiga mtu 4-1