2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

nimecheka sana hii sredi kuna watu mna vituko sana humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua wengi mmekata tamaa baada ya kupokea kichapo mujarabu kutoka kwa Senegal, Ila Huwezi amini hii timu itavuka hatua hii ya makundi.

Raundi inayofata Itakuwa Kama ifuatavyo:
Tanzania itashinda 2-0 mechi ya kenya na kuwa na point 3 .

Algeria atamfunga senegal 3-0 na kufikisha point 6

Msimamo utakuwa

1. Algeria 6
2. Senegal 3
3.Tanzania 3
4. Kenya 0


Raundi ya mwisho

Tanzania atadraw bila kufungana na Algera na kufikisha point 4

Kenya atadraw 1-1 na Senegal na kufikisha point 1

Msimamo wa mwisho utakuwa

1.Algeria point 7 goli difference 5
2. Tanzania point 4 goli difference 0
3. Senegal point 4 goli difference -1
4. Kenya point 1 goli difference-4

Hivyo Tanzania itaipita senegal kwa tofauti ya ma goli ya kufunga na kufungwa.


Najua wengi mtabeza lakini mwisho wa siku mtanitafuta ili niwatabirieni mambo yenu yajayo
Yaani umeacha kuongea uhalisia umeongelea kimahaba. Yaani umesema Algeria anamfunga Senegal goal 3-0 halafu hao hao Algeria wanamtandika Senegal ambao Tanzania wamechezea kichapo cha goal mbili halafu eti Tanzania itoke nao sare. Ndoto yako inachekesha sana
 
THE GAME unataka kuniaminisha kwamba akina iwobi, victor mosses,ahmed mussa, mikel na wenzao hamna kitu kabisa[emoji16][emoji16]
 
Mtu anatanguliwa goli na timu kama tunisia then wanatulia wanasawazisha. Binafsi nawapa nafasi watafika mbali. Timu nyingine Mali. Nitawacheki game ijayo
Angola jana wamecheza vizuri japo, wanajituma sana, pasi na mashuti ni ya uhakika.

Mali alishinda jana?
 
Back
Top Bottom