Amekuwa kinara wa magoli hadi sasa...
Nimekumbuka nyota wake(Fredrick Kanute) aliyewahi kuchezea Sevilla ya Italia, alikuwa moto sana.
Findings za Ndugai kasema tuna Lishe duni, tuanze na kuimarisha lishe kwanzaNa mimi natabiri
Mali
Senegal
Egypt
Tanzania [emoji3][emoji41]
Zitatinga nusu fainali
[emoji23][emoji23]Na mimi natabiri
Mali
Senegal
Egypt
Tanzania [emoji3][emoji41]
Zitatinga nusu fainali
Daahh, madesa yamekuwa mengi sana, shukrani kwa correctionSevilla ni spain mkuu.
anamaanisha starz wana utapiamlo au? ila kuna kaukweli ukicheki minjemba ya west kule duh ni mijitu hasa[emoji23]Findings za Ngugai kasema tuna Lishe duni, tuanze na kuimarisha lishe kwanza
Kwenye miili nimewakubali WaAngola, Ivory Coast sijaona wenye miili kama kikosi chao cha kina Yaya Toure, Kolo Toure, Aruna Dindane, Seidou Keita, Solomon Kalou n.k.anamaanisha starz wana utapiamlo au? ila kuna kaukweli ukicheki minjemba ya west kule duh ni mijitu hasa[emoji23]
ila ivory wamezinguana sana huu msimu..naona kama hili kosi litatoka kwenye makundi[emoji1787][emoji1787]Kwenye miili nimewakubali WaAngola, Ivory Coast sijaona wenye miili kama kikosi chao cha kina Yaya Toure, Kolo Toure, Aruna Dindane, Seidou Keta, Solomon Kalou n.k.
Ngoja tusubiri maana mpira hautabirikiila ivory wamezinguana sana huu msimu..naona kama hili kosi litatoka kwenye makundi[emoji1787][emoji1787]
Unaijua Mali mzee mwenzagu?Angola, Algeria,Ivory coast,Senegal ndio zitatinga nusu.
Mfahaishe japo kwa uchache apate kuielewa japo kidogo, binafsi naitabiria makubwa sana Mali jamaa wako vizuri sana.Unaijua Mali mzee mwenzagu?
Unaijua Mali mzee mwenzagu?
kweli mzee baba..unaeza shangaa hata Cameroon huko anatinga fainal[emoji23][emoji23]Ngoja tusubiri maana mpira hautabiriki
Kundi la taifa stars ndio kundi la kifo pia na nnashangaa watu wanavyolalamika kuona stars imefungwa na Senegal. Natabiri kwenye hili kundi kuna timu itafika final na ikiwezekana kuchukua kombe. Ila natamani sana Misri acheze final na Algeria itakuwa ni Bonge la final na Misri atapigwa japo kwa shida.
kweli mwamba..hata mimi naona hivyo yaniKundi la taifa stars ndio kundi la kifo pia na nnashangaa watu wanavyolalamika kuona stars imefungwa na Senegal. Natabiri kwenye hili kundi kuna timu itafika final na ikiwezekana kuchukua kombe. Ila natamani sana Misri acheze final na Algeria itakuwa ni Bonge la final na Misri atapigwa japo kwa shida.
hasa hasa kipindi cha kwanza yani hovyo mpaka nikakata tamaa ila Farid aliongeza kauhai kidogoKufungwa na Senegal sio tatizo tatizo tumecheza mpira wa hovyo mno. Kufungwa wengi tulitarajia lkn kiwango kibovu mno tulionyesha watu hata kupiga pasi hatuwezi. Kujiposition nako ni tatizo eti. Yaani mtu hajui akae wapi. Tukabaki kucheza rafu tu.
Aiseee Mauritania mkuu wakikutana na Egypt, Morocco sijui Tunisia wanapiga kwa mpira waliocheza jana wanakaba vibaya mno kama wacheza Rugby alafu miili yao mikubwa na warefu.Sijawacheki ila nao wako poa. Jana wameshinda nne ila wamecheza na timu nyepesi.
Nadhani mechi za pili nyingi zitatoa majibu mazuri. Hata senegal siwaamini sana ile mechi na sisi ilibidi watupige nyingi. Maana kuna timu ukicheza nazo chance kupata ni chache na inabidi uwe makini kuzitumia. Sasa ile game na sisi walipata nafasi nyingi lakini wakashindwa kutupiga nyingi. Huenda kukosekanika kwa Mane kulichangia.
Ha ha ha kuna kipindi badala ya kusikitika niliangua kicheko cha nguvu hadi basi,mana hata mashindano ya Shule za msingi huwa hayana timu inayocheza vile hasa hicho kipindi cha kwanzahasa hasa kipindi cha kwanza yani hovyo mpaka nikakata tamaa ila Farid aliongeza kauhai kidogo
beki zilikuwa na shughuli pevu kweli kweli..ila yule mzee wa urojo doh mpaka huruma yani dakika 20 tu ulimi kandambili[emoji23][emoji23]Ha ha ha kuna kipindi badala ya kusikitika niliangua kicheko cha nguvu hadi basi,mana hata mashindano ya Shule za msingi huwa hayana timu inayocheza vile hasa hicho kipindi cha kwanza