2019 Africa Cup of Nations Special Thread

anamaanisha starz wana utapiamlo au? ila kuna kaukweli ukicheki minjemba ya west kule duh ni mijitu hasa[emoji23]
Kwenye miili nimewakubali WaAngola, Ivory Coast sijaona wenye miili kama kikosi chao cha kina Yaya Toure, Kolo Toure, Aruna Dindane, Seidou Keita, Solomon Kalou n.k.
 
Kwenye miili nimewakubali WaAngola, Ivory Coast sijaona wenye miili kama kikosi chao cha kina Yaya Toure, Kolo Toure, Aruna Dindane, Seidou Keta, Solomon Kalou n.k.
ila ivory wamezinguana sana huu msimu..naona kama hili kosi litatoka kwenye makundi[emoji1787][emoji1787]
 
Kundi la taifa stars ndio kundi la kifo pia na nnashangaa watu wanavyolalamika kuona stars imefungwa na Senegal. Natabiri kwenye hili kundi kuna timu itafika final na ikiwezekana kuchukua kombe. Ila natamani sana Misri acheze final na Algeria itakuwa ni Bonge la final na Misri atapigwa japo kwa shida.
 
Sijawacheki ila nao wako poa. Jana wameshinda nne ila wamecheza na timu nyepesi.

Nadhani mechi za pili nyingi zitatoa majibu mazuri. Hata senegal siwaamini sana ile mechi na sisi ilibidi watupige nyingi. Maana kuna timu ukicheza nazo chance kupata ni chache na inabidi uwe makini kuzitumia. Sasa ile game na sisi walipata nafasi nyingi lakini wakashindwa kutupiga nyingi. Huenda kukosekanika kwa Mane kulichangia.
Unaijua Mali mzee mwenzagu?
 
Kufungwa na Senegal sio tatizo tatizo tumecheza mpira wa hovyo mno. Kufungwa wengi tulitarajia lkn kiwango kibovu mno tulionyesha watu hata kupiga pasi hatuwezi. Kujiposition nako ni tatizo eti. Yaani mtu hajui akae wapi. Tukabaki kucheza rafu tu.

kweli mwamba..hata mimi naona hivyo yani
 
Kufungwa na Senegal sio tatizo tatizo tumecheza mpira wa hovyo mno. Kufungwa wengi tulitarajia lkn kiwango kibovu mno tulionyesha watu hata kupiga pasi hatuwezi. Kujiposition nako ni tatizo eti. Yaani mtu hajui akae wapi. Tukabaki kucheza rafu tu.
hasa hasa kipindi cha kwanza yani hovyo mpaka nikakata tamaa ila Farid aliongeza kauhai kidogo
 
Sijawacheki ila nao wako poa. Jana wameshinda nne ila wamecheza na timu nyepesi.

Nadhani mechi za pili nyingi zitatoa majibu mazuri. Hata senegal siwaamini sana ile mechi na sisi ilibidi watupige nyingi. Maana kuna timu ukicheza nazo chance kupata ni chache na inabidi uwe makini kuzitumia. Sasa ile game na sisi walipata nafasi nyingi lakini wakashindwa kutupiga nyingi. Huenda kukosekanika kwa Mane kulichangia.
Aiseee Mauritania mkuu wakikutana na Egypt, Morocco sijui Tunisia wanapiga kwa mpira waliocheza jana wanakaba vibaya mno kama wacheza Rugby alafu miili yao mikubwa na warefu.

Mali wanakipiga aiseee hawa nawaona wakifika mbali, pamoja na Uganda
 
hasa hasa kipindi cha kwanza yani hovyo mpaka nikakata tamaa ila Farid aliongeza kauhai kidogo
Ha ha ha kuna kipindi badala ya kusikitika niliangua kicheko cha nguvu hadi basi,mana hata mashindano ya Shule za msingi huwa hayana timu inayocheza vile hasa hicho kipindi cha kwanza
 
beki zilikuwa na shughuli pevu kweli kweli..ila yule mzee wa urojo doh mpaka huruma yani dakika 20 tu ulimi kandambili[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom