2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Aiseee Mauritania mkuu wakikutana na Egypt, Morocco sijui Tunisia wanapiga kwa mpira waliocheza jana wanakaba vibaya mno kama wacheza Rugby alafu miili yao mikubwa na warefu.

Mali wanakipiga aiseee hawa nawaona wakifika mbali, pamoja na Uganda
majirani nao sio wa kubezwa wako fiti kweli
 
hasa hasa kipindi cha kwanza yani hovyo mpaka nikakata tamaa ila Farid aliongeza kauhai kidogo
kiukweli faridi na msuva walicheza poa hata wakishika mpira unaona kabisa kweli huyu mchezaji anajiamini na yuko makini. Manula kajiongezea sana CV
 
Aiseee Mauritania mkuu wakikutana na Egypt, Morocco sijui Tunisia wanapiga kwa mpira waliocheza jana wanakaba vibaya mno kama wacheza Rugby alafu miili yao mikubwa na warefu.

Mali wanakipiga aiseee hawa nawaona wakifika mbali, pamoja na Uganda
uganda ni wazuri ila nusu hawafiki
 
beki zilikuwa na shughuli pevu kweli kweli..ila yule mzee wa urojo doh mpaka huruma yani dakika 20 tu ulimi kandambili[emoji23][emoji23]
Inabidi tufuatilie,huenda ile timu ilikuwa haifanyi mazoezi. Na mbaya zaidi kuna makahaba Wa kiarabu kule wazuri kishenzi ha ha ha ha
 
kiukweli faridi na msuva walicheza poa hata wakishika mpira unaona kabisa kweli huyu mchezaji anajiamini na yuko makini. Manula kajiongezea sana CV
hili halina kipingamizi mzee tungepata akina farid wengine wawili mbona boko angefanya zile vitu anafanyaga akikutana na alliance
 
Aiseee Mauritania mkuu wakikutana na Egypt, Morocco sijui Tunisia wanapiga kwa mpira waliocheza jana wanakaba vibaya mno kama wacheza Rugby alafu miili yao mikubwa na warefu.

Mali wanakipiga aiseee hawa nawaona wakifika mbali, pamoja na Uganda
Duuuhh, kumbe nimepitwa bonge la burudani, mimi niliishia kuangalia Tunisia na Angola tu hapo jana
 
nakukumbusha tu Cameroon,Ghana wote leo wanashuka dimbani..usisahau kuwacheki japo ghana sina hata hamu nao basi tu nitawaangalia
 
Hahahaha mtoe huyo bado hajakutana na visiki....yani sengal kashiriki mara nyingi Afcon halafu anatufunga goal mbili tu teh teh teh
amezengua eenhe[emoji23][emoji23]kumbe alitakiwa atuchape ngapi[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…