teledam
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 927
- 1,239
majirani nao sio wa kubezwa wako fiti kweliAiseee Mauritania mkuu wakikutana na Egypt, Morocco sijui Tunisia wanapiga kwa mpira waliocheza jana wanakaba vibaya mno kama wacheza Rugby alafu miili yao mikubwa na warefu.
Mali wanakipiga aiseee hawa nawaona wakifika mbali, pamoja na Uganda