2019 Africa Cup of Nations Special Thread

THE GAME unataka kuniaminisha kwamba akina iwobi, victor mosses,ahmed mussa, mikel na wenzao hamna kitu kabisa
[/QUO
Mkuu hao wo
THE GAME unataka kuniaminisha kwamba akina iwobi, victor mosses,ahmed mussa, mikel na wenzao hamna kitu kabisa[emoji16][emoji16]
Hao wote ni wachezaji wazuri, walichokosa ni timu nzuri, hakuna timu work,!
Muunganiko wa timu haupo kabisa
 
"kila nikitaka kuiombea taifa stars "

kuna sauti hinanijia inasema "usimjaribu bwana mungu wako"

group stage I think kenya can get opportunity
 
Naunga mkono hoja , na kwa taarifa yako Makonda kishatumwa na mkuu kukamilisha mchakato
 
Write your reply...ungesema tunapita Kama best looser Na point 3 za kumfunga Kenya kidogo ningekulewa Lakini sio kwa kumpiku algeria
 
Taifa Stars inakatisha tamaa sana; inafanya hata timu za hovyo hovyo kama Arsenal nazo zionekane kuwa ni nzuri.
 
Ili usipate heart attack shabikia hizi teams, Algeria, Morroco, Egypt au Tunisia 😁😁😁


Utabiri wangu hapo Morroco na Mafarao wanakutana final,,,Morroco bingwa 2019
 
Taifa Stars yenyewe inayocheza kiwango cha chini hata kushindwa na Arsenal unatagemea kweli ishinde?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…