Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Z bwe wamenikera kiseee....yani
South Africa..Huyu Biliat wa ZIMBABWE anacheza wapi? Timu zetu hapa nyumban haziwezi kumngoa huko anakocheza aje acheze bongo. Jamaa mtamu balaa.
Duh...basi acha tule kwa machoSouth Africa..
Hawezi kuja bongo. Ni tegemeo huko.
Anacheza kaizer chiefs na kwa sasa kaizer haina ushawishi mkubwa ina matokeo mabovu.Huyu Biliat wa ZIMBABWE anacheza wapi? Timu zetu hapa nyumban haziwezi kumngoa huko anakocheza aje acheze bongo. Jamaa mtamu balaa.
Nisonee ubao huko mkuuMutu za zahera naona zinataka kuliamsha dude
ELMOHAMADY kamtungua Zahera watamkumbuka KidiabaNisonee ubao huko mkuu
Mwambie Zahera atumie vumbi lao basi...ELMOHAMADY kamtungua Zahera watamkumbuka Kidiaba