2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Huyu Biliat wa ZIMBABWE anacheza wapi? Timu zetu hapa nyumban haziwezi kumngoa huko anakocheza aje acheze bongo. Jamaa mtamu balaa.
 
Congo watafungwa lakin lazima misri nao walale na viatu...hawa congo roho ya paka
 
Huyu Biliat wa ZIMBABWE anacheza wapi? Timu zetu hapa nyumban haziwezi kumngoa huko anakocheza aje acheze bongo. Jamaa mtamu balaa.
Anacheza kaizer chiefs na kwa sasa kaizer haina ushawishi mkubwa ina matokeo mabovu.

Simba wanaweza kumpata wakiamua ila ubishoo mwingi akija bongo atazika kipaji chake hizi figisu za Simba na Yanga atapelekwa Tandika siku moja tu na wasiomtakia mema ataanza mwenyewe kujipeleka
 
ambacho sijaelewa ni wanaposema mchezaj fulan ni KINDA wkt ukimwangalia mtu kakomaa kama nini km yule aliyetufunga
 
Africa kuna ndumba aisee...

DR Congo mipira inagonga mwamba tu ..😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom