2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kwa aina ya wachezaji 23 wa Tanzania waliopo Misri,, kikosi hiki kinaweza kufaa kuipa ushindi Tanzania dhid ya Kenya kwa % kubwa.
1. Aishi Manula
2. Hasani Kessy
3. Mohamed Husen
4. David Mwantika
5. Kelvin Yondani
6. Erasto Nyoni
7. Simon Msuva
8. Mudathir Yahya
9. Adi Yusuph
10. Mbwana Samata
11.Farid Musa

*SUB*
Metacha Mnata
Aly Mton
Gadiel Maiko
Himid Mao
Feisal Salum
Frank Domayo
John Boco
Thomas Ulimwengu
 
JINA: KIPEPE
UMRI: MIAKA 27
NAFASI: MSHAMBULIAJI
NAMBA: 10

one more time !!!.
It's me again!!!

Ebanaeee Leo taifa stars tusikubali kufungwa na Hawa wa Kikuyu a.k.a Wakenya! Maana washaanza kuleta dharau kabla mechii haijaanza.

Aseeee!
Ebanaaae Leo bora mpira uende mtu abaki au MTU abaki mpira uende, pigeni mbungi kama la kina mapung'o yani ni ng'adu kwa ng'adu!

Ni kukaba wote kushambulia wote kama nyukiii

Wataelewa tuu Hawa wakenya.

Leo Ndio Leo.


Comrade.
 
Mfungwe tu na hiyo timu yenu ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa,Rais na Serikali ya Awamu ya Tano!

Siku Taifa Stars inakua timu ya Taifa la Tanzania na watu wake ndio nitaishabikia!

Fungweni kama 100 hivi!

Nipo upande wa adui na sitaki ushauri wa kima yeyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…