Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kala ngapi?Eeeh zahera [emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]
Kapigwa goli mbili ni wanaumeKala ngapi?
Daaahhh, pole yake, kashindwa kutumia hata vumbi lao ili asimamie kuchaKapigwa goli mbili ni wanaume
[emoji28]Daaahhh, pole yake, kashindwa kutumia hata vumbi lao ili asimamie kucha
HahahahaHiyo DO ondoa sema leo ni DIE tu.
Lazima kieleweke
Taifa stars ikifungwa
Nitafurahin sana
Furaha ambayo haielezeki
Mfungwe tu na hiyo timu yenu ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa,Rais na Serikali ya Awamu ya Tano!JINA: KIPEPE
UMRI: MIAKA 27
NAFASI: MSHAMBULIAJI
NAMBA: 10
one more time !!!.
It's me again!!!
Ebanaeee Leo taifa stars tusikubali kufungwa na Hawa wa Kikuyu a.k.a Wakenya! Maana washaanza kuleta dharau kabla mechii haijaanza.
Aseeee!
Ebanaaae Leo bora mpira uende mtu abaki au MTU abaki mpira uende, pigeni mbungi kama la kina mapung'o yani ni ng'adu kwa ng'adu!
Ni kukaba wote kushambulia wote kama nyukiii
Wataelewa tuu Hawa wakenya.
Leo Ndio Leo.
Comrade.