2019 Africa Cup of Nations Special Thread

yaani harambee stars are jst a level higher than taifa stars. ukweli ndio huo vingine ni maneno tu.
 
Huu ka mwandiko wa mbwiga mbwiguke
 
Watz tutakaaoshangilia Harambee Stars leo njooni huku kuna mtu anataka ku DIE!
 
Paulo Makonda Amonike jambo la kwanza analofikiria ni kukaba kaita wachezaji wa daraja la chini ili wakakabe.

Ili kumzuia Francis Kahata na Victor Wanyama ni lazima uwe na midfield players bora hawa hana hata mmoja aliyepo nae misri.
 
Please link au app tulio na simu ambao hatuna TV na vibanda umiza mbali
 
Utasikia wachezaji wanasema. Hapa kazi tu ha ha ha ha. CCM Stars hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…