sadi msita
Member
- Mar 10, 2013
- 30
- 24
Jinsi ulivyocomment na kwenye avatar umemuweka huyo mwanaharakati. Jiwe na mwanae wanatamani usingekuwa hai kabisa. Mimi mwenyewe ni HarambeeVictor Wanyama Usituangushe!!
Download TBC CCM app utaangalia. Au ingia kwenye website ya KBC ya Kenya unaweza kuiangalia.Please link au app tulio na simu ambao hatuna TV na vibanda umiza mbali
Mechi iliyotangulia siku ya leo, matokeo yake yakoje?
Madagascar nao wakali ee, Burundi waanze kukata tiketi warudi homeMadagascar 1-0 Burundi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Madagascar nao wakali ee, Burundi waanze kukata tiketi warudi home
Hahaha eti TBC CCM appDownload TBC CCM app utaangalia. Au ingia kwenye website ya KBC ya Kenya unaweza kuiangalia.
Naskia taifa stars wameambiwa wasposhindaMadagascar nao wakali ee, Burundi waanze kukata tiketi warudi home
Burundi Kafungwa 1-0 na MADAGASCARMechi iliyotangulia siku ya leo, matokeo yake yakoje?
yap!Jinsi ulivyocomment na kwenye avatar umemuweka huyo mwanaharakati. Jiwe na mwanae wanatamani usingekuwa hai kabisa. Mimi mwenyewe ni Harambee
Ngoja tuone kipindi cha pili mambo yatakavyokuwaSenegal Wanashinda vizuri sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naskia taifa stars wameambiwa wasposhinda
Wanarudi kwa miguu [emoji1]
Tunywe kwanza gahawaNgoja tuone kipindi cha pili mambo yatakavyokuwa
Game senegal anashindaTunywe kwanza gahawa