Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
Ndugu, kuangalia mpira wa hawa jamaa unaweza kupata ugonjwa wa moyo. Hii Nina hakika , nafanya tuu utafiti kidogo Kama hautapata kansa ya macho ....Binafsi Baada Ya Kuangalia Game Kwa Dakika 45 Za Mwanzo Nikagundua Moja Kwa Moja Napoteza Mbs Zangu Bure.
Hongereni Mulio Maliza Dakika Zote 90 Hakika Nyinyi Ni Wazarendo Hasa Ila Mimi Kwa Upande Wangu Sikuweza.
Team Hata Haieleweki Yaani Wachezaji Wanaruka ruka Tu Bora Hata Chura Wa Snura!!.