Siwezi kuharibu usingizi wangu aiseeMechi ya saa tano usiku mbona mtihani. Ila sina jinsi lazima niingalie hadi mwisho. Leo kulala saa nane usiku. Vibonde hatimae wanakutana ili kujua yupi ukibonde wake una uafadhali.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na mimi naona hivyo hivyoGame senegal anashinda
Nmeweka hela yote
Yoote anii
Mikopo na kila kitu , nyumba hadi mke [emoji28]
Utalala?Mimi mpaka mpira uishe.Siwezi kuharibu usingizi wangu aisee
Hasa ukiwa umebetiHali ni mbaya sana
Bi Dada bwana mkubwa atahudumiwa na nani sasaUtalala?Mimi mpaka mpira uishe.
Naskia taifa stars wameambiwa wasposhinda
Wanarudi kwa miguu [emoji1]
Algeria 1......Senegal 0
Natamani Ageria Apite hapa
Tunapenda wote mpira. Tunaangalia huku tunahudumiana.Bi Dada bwana mkubwa atahudumiwa na nani sasa
Waje mdogo mdogoKwa mema gani waliolifanyia taifa hadi wapande ndege
Misri hapo tu, watroti tu
Hawa wote wanapita
Hiyo ndio raha ya ndoaTunapenda wote mpira. Tunaangalia huku tunahudumiana.
Mikeka vipi? Wengi watakuwa waliiua Algeria leo.Waje mdogo mdogo