2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ndugu, kuangalia mpira wa hawa jamaa unaweza kupata ugonjwa wa moyo. Hii Nina hakika , nafanya tuu utafiti kidogo Kama hautapata kansa ya macho ....
 
Kikosi cha Leo..... Amunike apitie hapa.
1.Manula
2.Kessy
3.Tshabalala
4.Sonso
5.Yondani
6.Nyoni
7.Msuva
8. Sureboy
9.Bocco
10.Samatta
11.
Hiyo 11 Amunike angempanga kichuya au yeyt mwenye asili hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…