Tusubiri tuoneCha pili ndio chali kabisa
Dakika 90 badoKamanda unaangalia mpira?!........msalimie Daudi Mchambuzi
Hahahaa........!Dakika 90 bado
Hivyo ni visingizio tu!Senegal wameonewa sana leo!
Kwani sasa unapanda kwa asilimia ngapi?!!matokeo yakibaki hivihivi uchumi wa tz utapanda kwa asilimia 7%
Zimekaa ki-bbc bbc.
Wale makonda fc njooni hapa mropoke tena
Kama kawaida kenyana bado mkuu watatukoma