2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ndo maana Johan Cruyff ,Mungu angekuwa anasaidia team zishinde basi zingekuwaga zinatoka draw. Maana team zote mbili wanamwomba Mungu. Mind you that Mungu hana upendeleo.
Ha ha ha INA maan akishinda mmojawapo mungu atakua na upendeleo?
 
Sio rahis. Maana game ijayo tz anakuta a na algeria. Uwezekano wa kushinda ni mdogo sana
Algeria wameifunga Senegal 1 - 0 na hivyo kuifanya Taifa stars ambayo itaifunga Harambee Stars ya Kenya muda mfupi ujao kuwa katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.

Nitarudi baadae kuweka msimamo wa kundi letu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndo maana huwa sioni kuwa ni vema kumhusisha Mungu kwenye masuala yanayohitaji uwajibikaji zaidi kuliko imani!
Yap na ndo LA msingi San ila sisi wabongoland tunatumia hisia zaid na kumchosha mungu wetu wakat uwezo wote wa nn cha kufny tunao

Yaan mm sijishughulishi kuimba sijui tushinde ?ila nasema tuvune kadri ya tulivopanda
 
Back
Top Bottom