2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Tayari tumefuzu maana Algeria kamfunga Senegal aliyetufunga kwahiyo apo sisi tumesaidiwa kulipa kisasi.
Tanzania vs Kenya = GG& 1.5 ov
 
Kwa vile mkuu wetu wa mkoa katuahidi ushindi,basi matumaini tuwe nayo....lakini siasa na mpira haviwezi kuwa pamoja hata siku moja
 
Tufanye tutamfunga Kenya (kitu ambacho ni ndoto) game ya mwisho algeria na bongo, wakati huo senegal na point zake tatu tayari atahitaji droo tu kwa kenya (mathematically pia hatamuacha Kenya)..

Msimamo wa kundi utabaki kwa mtiririko uleule kama siku ile makundi yalivyopangwa
Kwani Taifa stars haita draw na Algeria?!
 
Back
Top Bottom