Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Kenya 3
CCM 2
[emoji2] [emoji2] uvccm wamefurushwa rasmi, kama nilivyosema hawatarudi na point ata moja.Usiseme Tanzania tafadhali. Sema UVCCM
adolay jana ikawaje tena best mana naona mlishindwa hata kupata suluhu na Algeria. Kulikoni?
Siasa za kijinga sana kwa hisani ya DAB!
Wafungwe na walegee kabisa.
Nyambafuuu!!
Hahahaa. Jamaani. Lol.
Imebakia na Kenya sasa best.
Ila yule refa mechi ilimshinda aisee kwani kuna muda aliwanyima penalti ya waziwazi kabisa.Senegal atamaliza hasira za hujuma za refa jana kwa jirani
tunasubir kwanza tuone kama timu itarudishwa kwa wananchi au itabaki kua ya chamaMengi yamesemwa, sasa tufanye nini na tusifanye nini kwa mashindano yajayo?
1. Viongozi wasio husika na mpira wazingatie 'eyes on hands off'
2. Vyama vya siasa visitumie mafanikio ya timu ya Taifa kujinasibu uhusika
3. ?
4. ?
5. ?
Wafute kwanza kauli zao na kuliondoa neno CCM kwenye mambo yote ya kitaifa.Hata kama Timu yetu imepoteza game hii dhidi ya Harambee Stars bado wachezaji wetu wanastahili pongezi kubwa sana , wamecheza kitimu ( total football ) na tena walikuwa na kasi sana hasa first half , ukilinganisha na game ya kwanza hii ilikuwa game nzuri mno ! nadhani malumbano na migongano ya viongozi
View attachment 1140616
iliyosambaa mitandaoni ilisaidia kuongeza hamasa yao uwanjani
Vinginevyo kwenye soka kuna kufunga na kufungwa , mpira umechezwa na Kenya wameshinda , niwaombe sasa wadau wote mliojitenga na timu hii rudini kundini tuifariji timu yetu , hii ni timu ya Taifa tuondoe tofauti zetu , maana imedhihirika sasa kwamba mtu mmoja mmoja hawezi kuleta mabadiliko ikiwa wengi wamejitenga , wanaoumia ni wachezaji wetu .
Umoja ni nguvu
Ila yule refa mechi ilimshinda aisee kwani kuna muda aliwanyima penalti ya waziwazi kabisa.
Hivi yule jamaa aliyekuwa benchi huku kavaa miwani ulimuona best? Mi alinifanya nicheke tu kila nilipomuona. ππππ
Kumbe Mzambia mi nilijua Msouth Afrika basi. Ila huenda CAF wakamchukulia hatua.Yule mzambia nikilaza tena anapaswa kunyang'anya leseni.
Kumbe Mzambia mi nilijua Msouth Afrika basi. Ila huenda CAF wakamchukulia hatua.
Poleni sana. Mgange ya Kenya sasa best.Typical Mzambia, alifeli kabisa Yaani fuse zilikatika akalost communication Kati ya medulla oblungata na macho nikama hakuwa na macho
Poleni sana. Mgange ya Kenya sasa best.