2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Mengi yamesemwa, sasa tufanye nini na tusifanye nini kwa mashindano yajayo?

1. Viongozi wasio husika na mpira wazingatie 'eyes on hands off'
2. Vyama vya siasa visitumie mafanikio ya timu ya Taifa kujinasibu uhusika
3. ?
4. ?
5. ?
 
Senegal atamaliza hasira za hujuma za refa jana kwa jirani
Ila yule refa mechi ilimshinda aisee kwani kuna muda aliwanyima penalti ya waziwazi kabisa.

Hivi yule jamaa aliyekuwa benchi huku kavaa miwani ulimuona best? Mi alinifanya nicheke tu kila nilipomuona. 😀😀😀😀
 
Mengi yamesemwa, sasa tufanye nini na tusifanye nini kwa mashindano yajayo?

1. Viongozi wasio husika na mpira wazingatie 'eyes on hands off'
2. Vyama vya siasa visitumie mafanikio ya timu ya Taifa kujinasibu uhusika
3. ?
4. ?
5. ?
tunasubir kwanza tuone kama timu itarudishwa kwa wananchi au itabaki kua ya chama
 
Hata kama Timu yetu imepoteza game hii dhidi ya Harambee Stars bado wachezaji wetu wanastahili pongezi kubwa sana , wamecheza kitimu ( total football ) na tena walikuwa na kasi sana hasa first half , ukilinganisha na game ya kwanza hii ilikuwa game nzuri mno ! nadhani malumbano na migongano ya viongozi
View attachment 1140616
iliyosambaa mitandaoni ilisaidia kuongeza hamasa yao uwanjani
Vinginevyo kwenye soka kuna kufunga na kufungwa , mpira umechezwa na Kenya wameshinda , niwaombe sasa wadau wote mliojitenga na timu hii rudini kundini tuifariji timu yetu , hii ni timu ya Taifa tuondoe tofauti zetu , maana imedhihirika sasa kwamba mtu mmoja mmoja hawezi kuleta mabadiliko ikiwa wengi wamejitenga , wanaoumia ni wachezaji wetu .
Umoja ni nguvu
Wafute kwanza kauli zao na kuliondoa neno CCM kwenye mambo yote ya kitaifa.
 
Ila yule refa mechi ilimshinda aisee kwani kuna muda aliwanyima penalti ya waziwazi kabisa.

Hivi yule jamaa aliyekuwa benchi huku kavaa miwani ulimuona best? Mi alinifanya nicheke tu kila nilipomuona. 😀😀😀😀

Yule mzambia nikilaza tena anapaswa kunyang'anya leseni.
 
Back
Top Bottom