Kilichonidanganya mkuu ni mpira Uganda alioucheza dhidi ya Congo na Tanzania walioucheza dhidi ya Kenya nimeamini hatuna uwezo wa kuifunga Uganda wakiwa wanahitaji pointNani kakudanganya?
ππππ nawaza tu atayekwea pipa safari hii kwenda kutoa hamasa mechi hiyo atakuwa nani.Pale tutapigwa tano
Sijui polepole atasema Ni miradi gani ya Awamu ya tano
Hahahahaaaa. Lol.Ana mambo ya ajabu sana huyo jamaa alissema Taifa stars itashinda kama CCM inavyoshindanga nikajiuliza CCM huwa inashinda au inaiba,nilitegemea kuona mikakati ya kuiba magoli jana lakini sikuona kitu labda alimkosa Jecha.
Unaicheki Cameroon na Ghana?Mechi ya Angola imepoa sana
Unaicheki Cameroon na Ghana?
Game imeishajeMaono ya nabii wa Ghana yanaanza kutimia hahahah
0-0Game imeishaje
Mechi ilikuwa inaboa, nimeondoka dakika ya 72 nikaja kulala, nimeshtuka sasa hivi kufuatilia matokeo hapaCameroon hawawezi ku_defend title yao
Matokeo yalikuwaje mkuu?Benin naona leo kibao kimegeuka imezidiwa sana
Daaah! Kwa sasa ziko vizuri japo sijajua huko mbeleni.Mimi za Kwangu ni Senegal na Algeria mkuu
0-0Matokeo yalikuwaje mkuu?