2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ana mambo ya ajabu sana huyo jamaa alissema Taifa stars itashinda kama CCM inavyoshindanga nikajiuliza CCM huwa inashinda au inaiba,nilitegemea kuona mikakati ya kuiba magoli jana lakini sikuona kitu labda alimkosa Jecha.
Hahahahaaaa. Lol.

Ila yale ni maneno ya wanasiasa tu ambayo mengi huwa ni kwa ajili ya kufurahisha watu fulani na huwa hayana uhalisia Mtani.
 
Back
Top Bottom