2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Billiat hamna kitu tuli muovareti mno ndio maana timu yake ya Kaizer chiefs ilimaliza nafasi ya nane PSL

Hawachezi cha Champions league wala confederation
 
Most saves
1. Aishi Manula (14)
2. Lloyd Kazapua (12)

most attempts
1. Farouk Miya (9)

manula angekuwa anachezea timu ya taifa angalau hata Madagascar angekuwa mbali sana
 
Chadema ni watu wanaokwenda na matukio hivyo tutegemee kabisa mjadala wa ubunge wa Tundu Lisu kufungwa leo.

Matokeo ya leo pale Cairo yanaweza kupelekea Chadema kuanza tena kuijadili kamati ya akina Haji Manara na kumsahau kipenzi chao Tundu Lisu.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
Wewe tayari unajadiri mambo ya Cairo. Ila ujue ili mradi hakuna polisi ccm na tume ya ccm matokea yatakuwa halali. Lakini Nina wasiwasi pale Cairo ilani ya ccm haitatekelezeka.
 
Matokeo ya Misri yanasubiriwa kwa hamu pale Lumumba kwani ndio wenye ccm stars.Ufipa wao wanaendelea na mjadala wa kamanda wao.Maendeleo yana chama
 
Kabisa mkuu, yenyewe yamekazana kumtukana Makonda
 
Ulivyokuwa unaandika huu upupu ulikalia kitukigumu kilichosimama huku umpepakatwa na kupapaswa

Swine
 
Uko sawa mno, wanaishi kwa matukio, dakika tano ni nyingi sana kwao kusahau na kudandia jipya
 
Ya Cairo na LISSU yote tutaunganisha pamoja sababu yote ni utekelezaji wa ilani ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…