2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Senegal ndio mweusi pekee ninayeona ana uwezekano mkuubwa wa kubeba ndoo...

Akilikosa yeye basi waarabu wanalibeba.

Niliwah kumdhamini south africa... Ila alichonifanyia dah
 
hakuna timu ambayo sijawahi kuvutiwa na mpira wao kama hawa wasouth.

jamaa kinachowabeba wana hela lakin mpira wao wa kawaida sana.

Sanasana wamekuwa wakijaza mabishomabisho tu (ukiondoa kile kikosi cha 1996 cha kina masinga, batlett, khumalo).
Washakufa moja huko.
Na ndio kwaheri kwakuwa best looser hawana nafasi
 
Back
Top Bottom