Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Mie ni mtazamo wangu. Na huo ni wakoMorocco mbona wepesi sana ungeniambia hata Algeria ningekuelewa
Wajinga hawana timu hawaSouth africa shida sana, duh, dakika ya 89 mnaachia? Nimesikitika sana
Washakufa moja huko.hakuna timu ambayo sijawahi kuvutiwa na mpira wao kama hawa wasouth.
jamaa kinachowabeba wana hela lakin mpira wao wa kawaida sana.
Sanasana wamekuwa wakijaza mabishomabisho tu (ukiondoa kile kikosi cha 1996 cha kina masinga, batlett, khumalo).
Weee embu kuwa na adabu nne peke yake? Yaaani leo chache kufungwa ni 6Ilani ya ccm inasema leo Ccm stars inakula goli 4!
Uzaaleendoo jamani!!Team Algeria tupooo
Mkuu hata wewe unaweza ukatuwakilisha kwenye huo uzalendo wenuUzaaleendoo jamani!!
Ukiitwa msaliti utashughulikiwa na ukiitwa kibaraka utatengwa. Kuwa Mzalendo!!Mkuu hata wewe unaweza ukatuwakilisha kwenye huo uzalendo wenu
Wameanzisha kikosya pili aisee tz anaeza awaotee hawa waarabuTeam Algeria tupooo
Naona hajaanzishwa sjui kwannManula kimemkuta nini tena!?
Uzalendo ndugu yangu!!Mnaopoteza usingizi wenu nawapeni pole
Mmezidisha siasaUkiitwa msaliti utashughulikiwa na ukiitwa kibaraka utatengwa. Kuwa Mzalendo!!
Siasa ndiyo uzalendo wenyewe huo. Leo tukishinda tutaongeza watalii toka Misri na Algeria!!Mmezidisha siasa