Bashite mbona simuoni uwanjani ? Au yupo hotelini anamuuguza Manula?
Vipi uko bado tu atujashinda?[emoji28][emoji28]
Sema taifa staaRekebisha kichwa cha habari hiyo ni ccm stars na siyo Taifa Stars.
Natamani wacheze hao jamaaHao wanapumnzishwa leo kwa ajili ya mechi muhimu ijayo.