2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Sijui niliwazaga nini kutofatilia kabisa ligi ya Tanzania yaani mechi ya leo ninayemfahamu kwa jina ni samata tu,nipo na marafiki zangu hapa wamenuna wanatukana kila wakati.mimi nacheka tu
Kuna beki anaitwa mwantika,pale akili ya mpira hamna
 
Taifa stars ndyo timu iliyofugwa mechi zote kwa gori nyingi kuliko timu yoyote.

Kwa kifupi taifa stars ni timu kibonde kuliko timu zote zinazoshiriki afcon mwaka huu..

Hapa tunasubiri mvua ya magori kipindi cha pili.
 
Algeria piga hao kenge wa Lumumba bao 7 kwa mpangilio ufuatao:
1 la Bashite
2 la Jiwe
3 la Karia
4 la TFF
5 la Ilani CCM
6 la Policcm
7 la NEC
 
Back
Top Bottom