Bashite mbona simuoni uwanjani ? Au yupo hotelini anamuuguza Manula?
[emoji1] dahMzee Mwinyi alibatilisha usemi akasema Wendawazimu wengine hawaruhusu vichwa vyao kuwa majaribio
Sie ni Gunia la mashineni kila mtu anajikungβutia tu, awe na kiroba cha mahindi asiwe nacho , akijisikia tu anakunguta ule mgunia
Kweli? sio 3πAlgeria 3
CCM STARS 0
Half time
Mwenye link tafadhali
Bado 4Halftime: Tanzania 0_Algeria 3
Bila wao tushapigwa tatu. Wakiingia je? Yaani leo tunashindwa na team B.Tanzania tunaweza umbea tu.Natamani wacheze hao jamaa
Wajiokote hao taifa staa
Dua zetu Mungu anazidi kuzijibu
Naona Algeria wako kwenye range kama sniper vile hawakosi.Watagawana magori timu nzima.watanzania sio wachoyo[emoji16][emoji16][emoji16]Labda tushinde njaa
Hahahahaha. AFCON 2019 inanipa raha.ππππππππππmchokozi sana weye!!!!
Atakuwa huyu?Kesho lazima msikie fulani ametumbuliwa ili ku-divert hii mechi ya leo.