2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ata mimi naona hili kombe linabaki uarabuni.Timu za kusini mwa jangwa la sahara zimetoka zote imebaki S.afrika na Congo ambao pumzi zimeshakata ukija afrika magharibi Safari hii naona hawako kama miaka ya nyuma nasijui kama uko mbele watabadilika ila hawa warabu hapo juu wako vizuri kwa kila kitu.kuanzia speed,umakini hadi ulaghai.Ila ngoja tuone.
 
Uganda leo anakibarua cha kudhibitisha kwa Senegal kuwa East Africa sio wote mdebwedo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…