2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hao Madagascar sijui wametokea wapi naskia Rais wao kawakodishia Airbus A380 wakaangalie mechi
Aje aombe na ile airbus yetu iliyoko chato wapeleke mashabiki wengi zaidi.
 
Baghdad bhuneja.... Aaah aaah aah jina la kibabe saana...

Ndugu zangu uganda ni rasmi sasa... Ila wengine lolote laweza tokea
 
AFCON BRACKET.png
 
Tulianza na timu 24 sasa zimepungua nakubaki timu 16 ambazo kwa kipindi cha miaka ya nyuma ndiyo zilikuwa idadi ya timu zinazo qualify kwenye mshindano ya Afcon. Sasa kwa lugha nyingine nikama vile Afcon ya mwaka huu ndo inaanza rasmi.

Atua ya 16 bora itaanza tarehe 5 siku ya ijumaa ambapo zitapigwa game mbili. Hii hapa ratiba kamili ya 16 bora.

Friday 5
Morocco vs Benin
Uganda vs Senegal

Saturday 6
Nigeria vs Cameroon
Egypt vs South Africa

Sunday 7
Madagascar vs DR Congo
Algeria vs Guinea

Monday 8
Mali vs Ivory Coast
Ghana vs Tunisia

Sio kama naichukia Uganda ila naona safari yao imewadia, Nigeria bye bye , Congo kwaeli ya kuonana, South Africa msalimieni Sana Mh. Rais Ramaphosa, Benin tutakutana tena mungu akipenda, Guinea tuliwapenda sana ila mungu kawapenda zaidi. Mali vs Ivory Coast, Ghana vs Tunisia hizo mechi wapenzi wakubet msiweke pesa yenu hapo nipagumu kweli kweli.
Cameroon hana uwezo wa kumfunga Nigeria, Ghana wamekuwa midobwedo sana siku hizi
 
Nauliza jamani, hii round ya 16 kuna kurudiana au atakayepigwa ndio anatoka moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom