2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kama mechi za Kesho wenzake hawatafungwa nyingi.
Maana yeye ana mabao 7 kwasasa.
Benin anacheza.
South Africa yeye kamaliza na Morocco kapigwa 1 tu.
MCongo naye aloshinda...asubiri Mbenin kesho.

Una supprt mwafrika mashariki yupi kwa sasa
Kenya or Uganda ?
 
10000% Cameroon hana mpira wowote sasa hivi huyu hata akikutana na Madagascar anagongwa nne au tano wakikaza sana ni draw japo siamini katika hili.

Benin wana njaa mno
Huwa sikosei kudadadeki
 
Angola anapigwa, afe kipa afe beki wanacheza mpira wa kujilinda sana sasa huu mchezo ni hatari unapokutana na wachezaji wenye kasi na skills za hali ya juu kama Mali.
Hahahaha hatari fire hizi mambo kuzijua raha sana
 
With the #AFCON2019 group stage wrapped up, here’s the round of 16 lineup:

Uganda [emoji1254] v Senegal [emoji1211]
Morocco [emoji1173] v Benin [emoji1047]
Egypt [emoji1093] v South Africa [emoji1221]
Nigeria [emoji1184] v Cameroon [emoji1062]
Madagascar [emoji1155] v DR Congo [emoji1078]
Algeria [emoji1026] v Guinea [emoji1119]
Mali [emoji1159] v Ivory Coast [emoji1081]
Ghana [emoji1110] v Tunisia [emoji1249]
 
Masahihisho:

Makundi ni 6, yenye timu 4 kila mmoja.

Kila la kheri Taifa Stars.

Huu ndio mkeka wangu kwa timu zitazojongea hatua ya mtoano.View attachment 1130454
Mkeka wangu umechanika kipande kimoja.

Naweka mwingine hapa kuelekea Robo fainali.
IMG_20190703_090213.jpg
 
Back
Top Bottom