Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Upo sahihi Guinea wanaongoza kwa 4 points.Tatizo Kenya wamefungwa goal 7.Ni hati hati sana kucheza best loser. Hapo umeisahau Guinea tena ina point nne kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi Guinea wanaongoza kwa 4 points.Tatizo Kenya wamefungwa goal 7.Ni hati hati sana kucheza best loser. Hapo umeisahau Guinea tena ina point nne kabisa.
Kesho Bénin na Angola wakifungwa. Basi hiyo list ndo itaingia best losersHapana anaongoza.
-Guinea
-Congo
-South Africa.
-Kenya
Sasa hapo Benin na Angola wacheze tuone....
Benin anaongoza wapi na wewe? Ana point 2.Mpaka sasa Benin inaongoza hata isipocheza anafuatiwa na DRC kisha Kenya
Benin sidhani kama atamfunga Cameroon...Kesho Bénin na Angola wakifungwa. Basi hiyo list ndo itaingia best losers
huu mchezo hauhitaji hasira
View attachment 1144262
Look at what Tanzanian,we are good.....
HahahahLook at what Tanzanian,we are good.....
yaa wale wanapiga soka!!!pia timu kama misri zinanafasiSenegal ndio mweusi pekee ninayeona ana uwezekano mkuubwa wa kubeba ndoo...
Akilikosa yeye basi waarabu wanalibeba.
Niliwah kumdhamini south africa... Ila alichonifanyia dah
Kigezo cha kwanza wanaangalia magoli ya kufunga Kenya anayo matatu, DRC manneTatizo Kenya wamefungwa goal 7.Ni hati hati sana kucheza best loser. Hapo umeisahau Guinea tena ina point nne kabisa.
Ana mchezo mmoja mkononi na ni very simple match kwakeBenin anaongoza wapi na wewe? Ana point 2.
Alitoka draw na Madagascar,akafungwa na Nigeria. Jana Guinea kamfunga Burundi. Over.Sina hakika kama ana points 4 labda uweke table
Ana mechi na Cameroun.Which is not simple kabisa.Ana mchezo mmoja mkononi na ni very simple match kwake
Cha kwanza wanaangalia points,then goal difference,then ya kufunga,inafuatia fair play ikishindikana wanafanya "tirage au sort"sijui kiswahili chake.Kigezo cha kwanza wanaangalia magoli ya kufunga Kenya anayo matatu, DRC manne
Cameroon hana squad ya kumfunga Benin.Benin sidhani kama atamfunga Cameroon...
Angola labda anaweza mkazia Mali hata Draw.
Cameroon hana squad ya kumfunga Benin anakufa mapema sana.Ana mechi na Cameroun.Which is not simple kabisa.
Ni kweli na ana +1 goal nimeonaAlitoka draw na Madagascar,akafungwa na Nigeria. Jana Guinea kamfunga Burundi. Over.
Ni kweli cha kwanza ni points, cha pili si utofauti wa magoli tu ni nani kafunga magoli mengi akikosekana wanaangalia walipokutana nani alifungwa na kama hawakuwa kwa group moja basi wataangalia nani karuhusu goli nyingi zaidi.Cha kwanza wanaangalia points,then goal difference,then ya kufunga,inafuatia fair play ikishindikana wanafanya "tirage au sort"sijui kiswahili chake.
Bosi kwahiyo Benin atamfunga Cameroon?Cameroon hana squad ya kumfunga Benin anakufa mapema sana.
Timu aliyonayo ni mbovu defensive team hawachezi attacking football kama Benin
10000% Cameroon hana mpira wowote sasa hivi huyu hata akikutana na Madagascar anagongwa nne au tano wakikaza sana ni draw japo siamini katika hili.Bosi kwahiyo Benin atamfunga Cameroon?
Hahahahhah. Hakuna mechi kuchezwa baina yao. Uamuzi wa mwisho huwa ni kufanya draw kama wanavyofanyaga kwenye kupanga groups.Ni kweli cha kwanza ni points, cha pili si utofauti wa magoli tu ni nani kafunga magoli mengi akikosekana wanaangalia walipokutana nani alifungwa na kama hawakuwa kwa group moja basi wataangalia nani karuhusu goli nyingi zaidi.
Akikosekana itabidi ichezwe mechi baina yao na hivi ndivyo vigezo vya CAF kumpata best loser