2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hapana anaongoza.
-Guinea
-Congo
-South Africa.
-Kenya

Sasa hapo Benin na Angola wacheze tuone....
Kesho Bénin na Angola wakifungwa. Basi hiyo list ndo itaingia best losers
 
Senegal ndio mweusi pekee ninayeona ana uwezekano mkuubwa wa kubeba ndoo...

Akilikosa yeye basi waarabu wanalibeba.

Niliwah kumdhamini south africa... Ila alichonifanyia dah
yaa wale wanapiga soka!!!pia timu kama misri zinanafasi
 
Kigezo cha kwanza wanaangalia magoli ya kufunga Kenya anayo matatu, DRC manne
Cha kwanza wanaangalia points,then goal difference,then ya kufunga,inafuatia fair play ikishindikana wanafanya "tirage au sort"sijui kiswahili chake.
 
Ana mechi na Cameroun.Which is not simple kabisa.
Cameroon hana squad ya kumfunga Benin anakufa mapema sana.
Timu aliyonayo ni mbovu defensive team hawachezi attacking football kama Benin
 
Cha kwanza wanaangalia points,then goal difference,then ya kufunga,inafuatia fair play ikishindikana wanafanya "tirage au sort"sijui kiswahili chake.
Ni kweli cha kwanza ni points, cha pili si utofauti wa magoli tu ni nani kafunga magoli mengi akikosekana wanaangalia walipokutana nani alifungwa na kama hawakuwa kwa group moja basi wataangalia nani karuhusu goli nyingi zaidi.

Akikosekana itabidi ichezwe mechi baina yao na hivi ndivyo vigezo vya CAF kumpata best loser
 
Hahahahhah. Hakuna mechi kuchezwa baina yao. Uamuzi wa mwisho huwa ni kufanya draw kama wanavyofanyaga kwenye kupanga groups.
 
Back
Top Bottom