Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Mkuu fainali ni kati ya senegal vs Algeria au Algeria vs Morocco.Akina Bounedja ndo wanabeba it's official
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fainali ni kati ya senegal vs Algeria au Algeria vs Morocco.Akina Bounedja ndo wanabeba it's official
Aje aombe na ile airbus yetu iliyoko chato wapeleke mashabiki wengi zaidi.Hao Madagascar sijui wametokea wapi naskia Rais wao kawakodishia Airbus A380 wakaangalie mechi
Hahaha kwasababu mpira utakua haujatenda haki...misri huko fitna nyingi sanaPumbavu zako kwahyo wakupige life bani ili tukose mawazo yako umu janvini?
Hii n pesa mtu mwonga anaweka DCSure win game ni Senegal, Egypt na Algeria
upo sahihi kabisa sijaona timu yenye mpira wa kasi na wachezaji wenye skills za kutafuta nafasi na kuwahadaa mabeki na makipa kama ALGERIA
Senegal hawanusi fainaliMkuu fainali ni kati ya senegal vs Algeria au Algeria vs Morocco.
Nadhani ni typing error. konda boy hashindwi kituuIle timu ya Konda Boy hujaiweka!
Kweli mkuuHii n pesa mtu mwonga anaweka DC
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza moja kisha #Amino nawambia Uganda atafika nusu fainali wengi mtanibeza
Cameroon hana uwezo wa kumfunga Nigeria, Ghana wamekuwa midobwedo sana siku hiziTulianza na timu 24 sasa zimepungua nakubaki timu 16 ambazo kwa kipindi cha miaka ya nyuma ndiyo zilikuwa idadi ya timu zinazo qualify kwenye mshindano ya Afcon. Sasa kwa lugha nyingine nikama vile Afcon ya mwaka huu ndo inaanza rasmi.
Atua ya 16 bora itaanza tarehe 5 siku ya ijumaa ambapo zitapigwa game mbili. Hii hapa ratiba kamili ya 16 bora.
Friday 5
Morocco vs Benin
Uganda vs Senegal
Saturday 6
Nigeria vs Cameroon
Egypt vs South Africa
Sunday 7
Madagascar vs DR Congo
Algeria vs Guinea
Monday 8
Mali vs Ivory Coast
Ghana vs Tunisia
Sio kama naichukia Uganda ila naona safari yao imewadia, Nigeria bye bye , Congo kwaeli ya kuonana, South Africa msalimieni Sana Mh. Rais Ramaphosa, Benin tutakutana tena mungu akipenda, Guinea tuliwapenda sana ila mungu kawapenda zaidi. Mali vs Ivory Coast, Ghana vs Tunisia hizo mechi wapenzi wakubet msiweke pesa yenu hapo nipagumu kweli kweli.
Wataweza tu kama MANE hatakuwepo.Uganda team yao inajielewa sana, uwezo wa kuwachomoa Senegal upo.
Nigeria amna kitu paleCameroon hana uwezo wa kumfunga Nigeria, Ghana wamekuwa midobwedo sana siku hizi
Basi watakuwa wamekutana wote wachovu.Nigeria amna kitu pale
Algeria anachukua hiiBasi watakuwa wamekutana wote wachovu.
Hili kombe ni la Egypt/Algeria wengine hao ni wasindikizaji tu kama Taifa stars na Kenya.