Umemsahau Madagascar na Uganda,,hawa jamaa wanaend kimy kimy taratibuAta mimi naona hili kombe linabaki uarabuni.Timu za kusini mwa jangwa la sahara zimetoka zote imebaki S.afrika na Congo ambao pumzi zimeshakata ukija afrika magharibi Safari hii naona hawako kama miaka ya nyuma nasijui kama uko mbele watabadilika ila hawa warabu hapo juu wako vizuri kwa kila kitu.kuanzia speed,umakini hadi ulaghai.Ila ngoja tuone.
Ha ha ha ha,,,,,uyo mtu alipwe kadri ya maombi yake mkuu kwan kaomba yeye mwenyew@Moderator
Maroc out.Morocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
Hao maustadhi leo pamoja na mbeleko lakini wapi wasiposhinda muda wa nyongeza ni wazembe
Ziyach ile penalt alokosa. Yaani pale nikajua uchawi upo.Morocco wamebebwa lakini hawajabebeka
ubingwa bado sanaMorocco kala kona. Benin inaweza ikawa Portugal kwenye Euro cup 2016.Kutoka kwenye best loser hadi kubeba ubingwa.
Na kuna ile krosi ilipigwa kisha Boufal #9 akapiga kichwa kikadundaZiyach ile penalt alokosa. Yaani pale nikajua uchawi upo.
Huipendi pesa yakoNimemuua senegal kwa hela nyingi sana
Dua zako mkuu [emoji28][emoji28]
Mhindi ameshakutoa knockoutTuone nani atamchana muhindiView attachment 1147483
Senegal wapo kuchakaa Leo...sukar ipo kugeuka oro.Senegal watakuwa wamepiga Afrika mashariki Baada ya Tz Ke na sasa Ug anaye bisha tukutane saa tano