2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ata mimi naona hili kombe linabaki uarabuni.Timu za kusini mwa jangwa la sahara zimetoka zote imebaki S.afrika na Congo ambao pumzi zimeshakata ukija afrika magharibi Safari hii naona hawako kama miaka ya nyuma nasijui kama uko mbele watabadilika ila hawa warabu hapo juu wako vizuri kwa kila kitu.kuanzia speed,umakini hadi ulaghai.Ila ngoja tuone.
Umemsahau Madagascar na Uganda,,hawa jamaa wanaend kimy kimy taratibu

Japo Madagascar naona atatembea kiasi
 
Refa yupo fair sana. Refa mwingine Onyango hapa alikuwa anapewa redcard.
 
Huyu goalkeeper wa Uganda, Onyango ana mwili mkubwa mno. Coach fitness wake alitakiwa ampunguze uzito.

Dk ya 21 Uganda 0-0 Senegal
 
Back
Top Bottom